Bible Vocabulary

Interactive flashcards for learning vocabulary

Swahilimoderateby HannesMarais
Flashcards: 2315 / 5

Save words from this page and practise them with flashcards in DuoCards. How does it work?

Upendo
Love
Upendo ni nguvu inayotuunganisha sote.
Kupenda
To love
Ninampenda mama yangu sana.
Neema
Grace
Neema ya Mungu iko juu yetu.
Rehema
Mercy
Rehema ya Mungu inatufunika sote katika nyakati ngumu.
Mungu
God
Mungu aliumba dunia na kila kilichomo ndani yake.
Yesu
Jesus
Watu wengi wanamwamini Yesu kama Mwokozi wao.
Mwokozi
Savior
Aliweza kuwa mwokozi wa jamii yake kwa kutoa msaada wa chakula kwa wenye njaa.
Kuomba
Praying
Nitakuja kuomba msaada wako kesho.
Kusali
Pray
Ni muhimu kusali kabla ya kula chakula.
Roho
Spirit
Roho yangu inahisi huzuni.
Roho Mtakatifu
Holy Spirit
Katika ibada, tunamwomba Roho Mtakatifu atuongoze.
Ibada
Worship
Watu wanakusanyika kila Jumapili kwa ibada kanisani.
Kusanyika
Gather
Familia ilikusanyika pamoja kwa ajili ya chakula cha jioni.
Kukesha
Stay awake
Wakati wa maombi, watu wengi hukesha ili kuomba kwa bidii.
Kuangalia
Watching
Watoto wanapaswa kuangalia barabara kabla ya kuvuka.
nafsi
soul
Alikuwa na nafsi nzuri, alisaidia watu wengi.
Binafsi
Self
Mwili
Body / Human nature
Basi matendo ya mwili ni dhahiri
Dhambi
Sin
Aliomba msamaha kwa sababu ya dhambi alizofanya.
Mwenye dhambi
Sinner
Mwalimu alizungumza kuhusu mwenye dhambi katika darasa la dini.
Uzima
Life
Aliishi kwa uzima mzuri kwa miaka mingi.
Milele
Forever
Upendo wetu utaishi milele.
Uzima wa milele
Eternal life
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Bwana
Lord
Ningependa kumshukuru Bwana kwa msaada wake.
Mfalme
King
Yesu ni Mfalme ya wafalme
Sadaka
Sacrifice
Mat 5:23 Basi ukileta sadaka yako madhabahuni, na huku ukikumbuka ya kuwa ndugu yako ana neno juu yako,
Dhabihu
Sacrifice
Rom 12:1 Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai
Madhabahu
Altar
Mat 23:19 Vipofu ninyi; maana ni ipi iliyo kubwa, ile sadaka, au ile madhabahu iitakasayo sadaka?
Sauti
Voice
Mat 3:17 na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.
Kuhani mkuu
High priest
Heb 4:14 Basi, iwapo tunaye kuhani mkuu aliyeingia katika mbingu, Yesu, Mwana wa Mungu, na tuyashike sana maungamo yetu.
Moyo
Heart
Pro 4:23 Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.
Kristo
Christ
Mat 16:16 Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.
Dhahabu
Gold
1Pe 1:18 Nanyi mfahamu kwamba mlikombolewa si kwa vitu viharibikavyo, kwa fedha au dhahabu;
Amri
Command
Joh 15:12 Amri yangu ndiyo hii, Mpendane, kama nilivyowapenda ninyi.
Fedha
Silver
1Co 3:12 Lakini kama mtu akijenga juu ya msingi huo, dhahabu au fedha au mawe ya thamani, au miti au majani au manyasi, kazi ya kila mtu itakuwa dhahiri.
Damu
Blood
Jesu alimwaga damu yake kwa ajili yetu.
Uovu
Evil
Eph 5:16 mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu.
Upanga
Sword
Eph 6:17 Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu;
Hukumu
Judgment
Jas 2:13 Maana hukumu haina huruma kwake yeye asiyeona huruma. Huruma hujitukuza juu ya hukumu.
Kweli
Truth
Joh 8:32 tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.
Adui
Enemy
Mat 5:44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,
Hekima
Wisdom
Jas 3:17 Lakini hekima itokayo juu, kwanza ni safi, tena ni ya amani, ya upole, tayari kusikiliza maneno ya watu, imejaa rehema na matunda mema, haina fitina, haina unafiki.
Kuokoa
To save
Luk 17:19 Akamwambia, Inuka, enenda zako, imani yako imekuokoa.
Utukufu
Glory
Joh 5:41 Mimi siupokei utukufu kwa wanadamu.
Kutawala
To rule
Luk 22:25 Akawaambia, Wafalme wa Mataifa huwatawala, na wenye mamlaka juu yao huitwa Wenye fadhili
Sheria
The law
Rom 5:20 Lakini sheria iliingia ili kosa lile liwe kubwa sana; na dhambi ilipozidi, neema ilikuwa nyingi zaidi;
Vita
War
2Ti 4:7 Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda
Mtumishi
Servant
Mat 23:11 Naye aliye mkubwa wenu atakuwa mtumishi wenu.
Hasira
Anger
Jas 1:20 kwa maana hasira ya mwanadamu haiitendi haki ya Mungu.
Malaika
Angel
Luk 1:30 Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.
Mwanadamu
Human
Gen 6:5 Bwana akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu sikuzote.
Agano
Covenant / Testament
Luk 22:20 Kikombe nacho vivyo hivyo baada ya kula; akisema, Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu, inayomwagika kwa ajili yenu.
Mbinguni
Heaven
Mat 3:2 Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.
Tunu
Precious
Habari ya Yesu ni hadithi iliyo tunu
Wimbo
Song
Tunaimba wimbo
Kutukuza
To glorify
Gal 1:24 Wakamtukuza Mungu kwa ajili yangu.
Amani
Peace
Joh 20:21 Basi Yesu akawaambia tena, Amani iwe kwenu; kama Baba alivyonituma mimi, mimi nami nawapeleka ninyi.
Nyikani
Desert / wilderness
Mat 4:1 Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi.
Ibilisi
Devil
Kujaribu
To Try / tempt
1Co 10:9 Wala tusimjaribu Bwana, kama wengine wao walivyomjaribu, wakaharibiwa na nyoka.
Mjaribu
Tempter
Mat 4:3 Mjaribu akamjia akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate.
Kushinda
To win / overcome
Joh 16:33 .... lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu.
Taabu
Trouble / hardship
2Ti 2:3 Ushiriki taabu pamoja nami, kama askari mwema wa Kristo Yesu.
Masikitiko
Grief
Ecc 2:23 Kwa kuwa siku zake zote ni masikitiko,...
dhihaka
mockery
Luk 23:36 Wale askari nao wakamfanyia dhihaka, wakimwendea na kumletea siki,
Maskini
Poor person
Mat 5:3 Heri walio maskini wa roho; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Msalaba
Cross
Mat 10:38 Wala mtu asiyechukua msalaba wake akanifuata, hanistahili.
Kusulibisha
To Crucify
Mar 15:25 Basi ilikuwa saa tatu, nao wakamsulibisha.
Kutesa
Torture / afflict
1Ki 11:39 Tena nitawatesa wazao wa Daudi kwa sababu hii, lakini si daima.
Kufariki
To die
Gen 25:8 Ibrahimu akafariki,....
Kufufuka
To Rise from the dead
Mat 26:32 Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya.
Ufufuo
Resurrection
Luk 20:33 Basi, katika ufufuo atakuwa mke wa yupi? Maana aliolewa na wote saba.
Ujumbe
Message
Yesu ni ujumbe wetu.
Kutaja
To Mention
Katika ripoti yake, alitaja mambo muhimu ya mradi.
Heri
Happy / blessed
Mat 5:4 Heri wenye huzuni; Maana hao watafarijika.
Haki
Justice / righteousness
Mat 5:6 Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa.
Kuimarisha
Strengthening
Job 4:4 Maneno yako yamemtegemeza huyo aliyekuwa anaanguka, Nawe umeyaimarisha magoti manyonge.
Kutoa
To Give out / put out
Mar 15:37 Naye Yesu akatoa sauti kuu, akakata roho.
Kutii
To Obey
1Pe 2:13 Tiini kila kiamriwacho na watu, kwa ajili ya Bwana; ikiwa ni mfalme, kama mwenye cheo kikubwa;
Kutumikia
To Serve
Eph 6:7 kwa nia njema kama kumtumikia Bwana wala si mwanadamu;
Wateule
The Chosen people
Mat 22:14 Kwa maana waitwao ni wengi, bali wateule ni wachache.
Kudhihirisha
To reveal
Joh 21:1 Baada ya hayo Yesu alijidhihirisha tena kwa wanafunzi wake, penye bahari ya Tiberia, naye alijidhihirisha hivi.
Ufalme
Kingdom
Mat 3:2 Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.
Huzuni
Sadness
Mat 5:4 Heri wenye huzuni; Maana hao watafarijika.
Kufarijika
To be Comforted
Mat 5:4 Heri wenye huzuni; Maana hao watafarijika.
Upole
Meekness
Mat 5:5 Heri wenye upole; Maana hao watairithi nchi.
Kurithi
To inherit
Mat 5:5 Heri wenye upole; Maana hao watairithi nchi.
nchi
Earth / country
Mat 5:5 Heri wenye upole; Maana hao watairithi nchi.
Mpatanishi
Mediator / peacemaker
Mat 5:9 Heri wapatanishi; Maana hao wataitwa wana wa Mungu.
Kuudhiwa
To be persecuted
Mat 5:10 Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Kushutumu
To revile / insult
Mat 5:11 Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu.
Kuudhi
To persecute
Mat 5:11 Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu.
Uongo
Lie / false
Mat 5:11 Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu.
Kushangilia
Be exceedingly glad
Mat 5:12 Furahini, na kushangilia; kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni; kwa maana ndivyo walivyowaudhi manabii waliokuwa kabla yenu.
Thawabu
Reward
Mat 5:12 Furahini, na kushangilia; kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni; kwa maana ndivyo walivyowaudhi manabii waliokuwa kabla yenu.
Nabii
Prophet
Mat 5:12 Furahini, na kushangilia; kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni; kwa maana ndivyo walivyowaudhi manabii waliokuwa kabla yenu.
Kuharibika
Be spoiled / destroyed
Mat 5:13 Ninyi ni chumvi ya dunia; lakini chumvi ikiwa imeharibika itatiwa nini hata ikolee? Haifai tena kabisa, ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu.
Nuru
Light
Mat 5:14 Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya mlima.
Dunia
World
Ulimwengu
World
Kuwasha
To turn on / to light
Mat 5:15 Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi, bali juu ya kiango; nayo yawaangaza wote waliomo nyumbani.
Taa
Lamp
Mat 5:15 Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi, bali juu ya kiango; nayo yawaangaza wote waliomo nyumbani.
Pishi
Measuring container
Mat 5:15 Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi, bali juu ya kiango; nayo yawaangaza wote waliomo nyumbani.
Kiango
Lampstand
Mat 5:15 Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi, bali juu ya kiango; nayo yawaangaza wote waliomo nyumbani.
Kuangaza
Shine / give light
Mat 5:15 Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi, bali juu ya kiango; nayo yawaangaza wote waliomo nyumbani.
Matendo
Deeds / works
Mat 5:16 Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.
Kudhani
To think
Mat 5:17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza
Kutangua
Abolish / Annul
Mat 5:17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza
Torati
Law
Mat 5:17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza
Kutimiliza
Fulfill
Mat 5:17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza
Kutimia
Be accomplished
Kuzidi
To exceed
Mat 5:20 Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni
Waandishi
Scribes
Mat 5:20 Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni
Mafarisayo
Pharisees
Mat 5:20 Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni
Kamwe
Never
Mat 5:20 Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni
Kale
Ancient / long ago
Mat 5:21 Mmesikia watu wa kale walivyoambiwa, Usiue, na mtu akiua, itampasa hukumu.
KuPasa
Be necessary
Mat 5:21 Mmesikia watu wa kale walivyoambiwa, Usiue, na mtu akiua, itampasa hukumu.
Kufyoa
To use abusive language
Mat 5:22 mimi nawaambieni, Kila amwoneaye ndugu yake hasira itampasa hukumu; na mtu akimfyolea ndugu yake, itampasa baraza; na mtu akimwapiza, itampasa jehanum ya moto.
Baraza
The Council
Mat 5:22 mimi nawaambieni, Kila amwoneaye ndugu yake hasira itampasa hukumu; na mtu akimfyolea ndugu yake, itampasa baraza; na mtu akimwapiza, itampasa jehanum ya moto.
Kuapiza
To curse
Mat 5:22 mimi nawaambieni, Kila amwoneaye ndugu yake hasira itampasa hukumu; na mtu akimfyolea ndugu yake, itampasa baraza; na mtu akimwapiza, itampasa jehanum ya moto.
Jehanum
Hell
Mat 5:22 mimi nawaambieni, Kila amwoneaye ndugu yake hasira itampasa hukumu; na mtu akimfyolea ndugu yake, itampasa baraza; na mtu akimwapiza, itampasa jehanum ya moto.
Kupatana
Be reconciled
Mat 5:24 Swahili iache sadaka yako mbele ya madhabahu, uende zako, upatane kwanza na ndugu yako, kisha urudi uitoe sadaka yako.
Kisha
Afterwards / then
Mat 5:24 Swahili iache sadaka yako mbele ya madhabahu, uende zako, upatane kwanza na ndugu yako, kisha urudi uitoe sadaka yako.
Mshitaki
Accuser
Mat 5:25 Swahili Patana na mshitaki wako upesi, wakati uwapo pamoja naye njiani; yule mshitaki asije akakupeleka kwa kadhi, na kadhi akakupeleka kwa askari, ukatupwa gerezani.
Kadhi
A Judge
Mat 5:25 Swahili Patana na mshitaki wako upesi, wakati uwapo pamoja naye njiani; yule mshitaki asije akakupeleka kwa kadhi, na kadhi akakupeleka kwa askari, ukatupwa gerezani.
Askari
Soldier
Mat 5:25 Swahili Patana na mshitaki wako upesi, wakati uwapo pamoja naye njiani; yule mshitaki asije akakupeleka kwa kadhi, na kadhi akakupeleka kwa askari, ukatupwa gerezani.
Gereza
Prison
Mat 5:25 Swahili Patana na mshitaki wako upesi, wakati uwapo pamoja naye njiani; yule mshitaki asije akakupeleka kwa kadhi, na kadhi akakupeleka kwa askari, ukatupwa gerezani.
Kuzini
To commit adultery
Mat 5:27 Swahili Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini;
Kwamba
That
Mat 5:27 Swahili Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini;
Kutamani
To desire
Mat 5:28 Swahili lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
Kukosesha
To cause to make a mistake
Mat 5:29 Swahili Jicho lako la kuume likikukosesha, ling'oe ulitupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanum.
Kung'oa
Pull out / extract
Mat 5:29 Swahili Jicho lako la kuume likikukosesha, ling'oe ulitupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanum.
Kufaa
To Be convenient / benefit
Mat 5:29 Swahili Jicho lako la kuume likikukosesha, ling'oe ulitupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanum.
Kiungo
Member of the body
Mat 5:29 Swahili Jicho lako la kuume likikukosesha, ling'oe ulitupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanum.
Wala
Nor / and not
Mat 5:29 Swahili Jicho lako la kuume likikukosesha, ling'oe ulitupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanum.
KuAcha
To Leave / abandon / divorce
Mat 5:31 Swahili Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka;
Mkewe
His wife
Mat 5:31 Swahili Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka;
Hati
Document / certificate
Mat 5:31 Swahili Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka;
Talaka
Divorce
Mat 5:31 Swahili Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka;
Isipokuwa
Except / with the exception of
Mat 5:32 Swahili lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.
Uasherati
Fornication
Mat 5:32 Swahili lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.
Mzinzi
Adulterer
Mat 5:32 Swahili lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.
Kuoa
To marry a wife
Mat 5:32 Swahili lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.
Kuolewa
To be married by the husband
Mat 5:32 Swahili lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.
Kuapa
To take an oath / swear
Mat 5:33 Swahili Tena mmesikia watu wa kale walivyoambiwa, Usiape uongo, ila mtimizie Bwana nyapo zako;
Ila
Except / but
Mat 5:33 Swahili Tena mmesikia watu wa kale walivyoambiwa, Usiape uongo, ila mtimizie Bwana nyapo zako;
Nyapo
Oaths
Mat 5:33 Swahili Tena mmesikia watu wa kale walivyoambiwa, Usiape uongo, ila mtimizie Bwana nyapo zako;
Enzi
sovereignty / reign
Mat 5:34 Swahili lakini mimi nawaambia, Usiape kabisa; hata kwa mbingu, kwa maana ndicho kiti cha enzi cha Mungu;
Kiti cha enzi
Throne
Mat 5:34 Swahili lakini mimi nawaambia, Usiape kabisa; hata kwa mbingu, kwa maana ndicho kiti cha enzi cha Mungu;
KuAmini
To Trust
Bibi arusi
Bride
Bidii
Diligence
Bwana Arusi
Bridegroom
Furaha
Joy
Hadi
Promise
Hekalu
Temple
Huduma
Service
Huruma
Compassion
Imani
Faith
Imara
Steadfastness
Injili
Gospel
Jaribu
Temptation
Jengo
Building
Kanisa
Church
Kiasi
Self-control
Kiburi
Pride
Kifo / Mauti
Death
Kipawa
Gifts
Kuamini
Believe
Kuathiri
To Influence
Kufundisha
Teach
Kuhani
Priest
Kuhubiri
To Preach
Kuponya
To Heal
Kutafakari
To Meditate
Laana
Curse
Maandiko
Scripture
Makufuru
Blasphemy
Matunda
Fruit
Mchungaji
Shepherd
Mfariji
Comforter
Mmeli
Advocate
Moto
Fire
Msamaha
Forgiveness
Mshindi
Victor
Mtume
Apostle
Muujiza
Miracle
Mwalimu
Teacher
Mwana
Son
Mwana wa Adamu
Son of Man
Mwana wa Mungu
Son of God
Mwanafunzi
Disciple
Mwanakondoo
Lamb
Mwito
Calling
Mwombezi
Intercessor
Mwongozo
Guidance
Mzabibu
Vine
Neno
Word
Nguvu
Power
Njia
Way
Shetani
Demon
Shukrani
Gratitude
Subira
Perseverance
Tabibu
Healer
Taji
Crown
Takatifu
Holy
Tamaa
Lust
Toba
Repentance
Tumaini / Taraja
Hope
Uaminifu
Faithfulness
Ubatizo
Baptism
Ufadhili
Kindness
Ufisadi
Malice
Uhuru
Freedom
Ukomboleo
Redemption
Ukuhani
Priesthood
Umoja
Unity
Unyenyekevu
Humility
Unyofu
Honesty
Upatanisho
Atonement
Usafi
Purity
Ushindi
Victory
Ushirika
Fellowship
Ushuhuda
Testimony
Utiifu
Obedience
Uvumilivu
Patience
Wema
Goodness
Wivu
Envy
Wokovu
Salvation
Kundi
Flock
Zizi
Fold

Learning with DuoCards

What is DuoCards?

DuoCards is a language-learning app that helps you build vocabulary with flashcards. You can save words you want to learn and practise them over time.

How do I learn with this set?

Browse the flashcards to see the words and their translations. Select Card picker and choose the words you want to learn. Then create a free account to save your words and practise them.

How do I practise my words?

You'll see a flashcard with a word and a hidden translation. Guess what it means, then tap to check your answer. DuoCards repeats the words you find difficult.

Do I need an account, and is learning free?

You can browse this page without an account. A free account lets you save words and track your progress. The free plan has limits, and Premium offers additional features.